TANESCO ipo katika maboresho ya mfumo wake wa Network, linapotokea tatizo sehemu hakutakuwa na haja ya kufanya Patrol kwani tatizo litaweza kujulikana moja kwa moja kwa kuonekana katika mfumo.
teknolojia iliyotumika kwenye mitambo ya kituo hicho ni ya kisasa ijulikanayo kama Distribution SCADA...
vimeongelewa vitu vingi vinavyochangia kupanda ama kushuka kwa umeme, kupanda kwa mafuta ni moja wapo, mitambo hiyo inatumia mafuta ya ndege.
lakini pia zinaangaliwa gharama za Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji.
Acha kukurupuka
Lazima tukubali kinacholipwa sasa na wananchi sio bei halisi Serikali imekuwa ikitoa ruzuku kwa TANESCO Kodi inayokusanywa itumike kuendesha Serikali na kulipia Huduma za jumla badala ya wananchi kutaka zielekezwe kwenye ruzuku.
Takwimu zipo Mitambo yote ya gesi imenunuliwa kwa mikopo toka...
Mkuu haihitaji hasira, yaliyopelekwa ni maombi na wadau mnatakiwa KUTOA maoni EWURA sio jamii forums.
Unafahamu gharama za uzalishaji umeme kwa unit moja? Mbona zenyewe hamuongelei? Uchunguzi wa kina huwa unafanyika watu hawakurupuki
Kwanza inaonyesha uko nyuma katika kupata habari lakini so kosa lako, ni uvivu wa kufikiri ambao so ugonjwa wako pekee.
TANESCO haihusiki na kupandisha bei ya Umeme kisheria EWURA ambae ni mdhibiti anatakiwa kufanya tathmini ya bei ya Umeme kila robo mwaka, si hivyo tu lakini nakusaidia hii ni...
TAARIFA KWA UMMA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa iliyotolewa katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusu ombi la kurekebisha bei za umeme kwa mwaka 2017.
Ombi la mabadiliko ya bei za umeme liliwasilishwa EWURA kulingana na Agizo la kubadilisha bei...
TAARIFA KWA UMMA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa iliyotolewa katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusu ombi la kurekebisha bei za umeme kwa mwaka 2017.
Ombi la mabadiliko ya bei za umeme liliwasilishwa EWURA kulingana na Agizo la kubadilisha bei...
Sio sahihi Kama kodi watu wamekuwa wakalipa hata kupitia bidhaa mbalimbali wanazo nunua hutokea kodi.
Huu ni mzigo kwa wananchi hasa wa kipato cha chini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.