Recent content by kokuhilwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Nimeumia kama tulijuana in person.RIP mwandishi mzuri.Kunawakati mtu ukiwa na stress zako unasoma nyuzi zake unafurahi siku inakwenda.Asante!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

    Ila kuna umri ukifika hawa mama zetu inabidi wastop using social networks. It is not good for them and their loved ones.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

    Lol...word! So bora awatafute waswahili wapige story vizuri..lol.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

    Utashangaa na hizi drama zote mwingine atajaribu tena baada ya zari...ndo ujue wanawake ttunayafuataga matatizo wenyewe.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

    Umeongea vizuri.lakini hiyo elimu wame wameelimika kuwa na elimu tu si tatizo.nina wifi yangu anaelimu nzuri lakini mambo anayoyafanya...mpka mdogo wake anasema "dada yangu elimu haijamsaidia".nashukuru mungu I live miles and miles away from them hawawezi fika hata kusalimia.maanake nisingeweza...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Masanja Mkandamizaji amvika pete mchumba wake

    Wanaangalia uzuri ndo maana divorce zinazidi...uzuri uko machoni mwa muoaji.na mtabaki single for the rest of your damn life.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Officially single mother of 3
  8. K

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Yaani kichwapanzi anahitaji gold medal..si kwa info zile.hakuna mtu aliyekua anamuweza ...sasa kapatikana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Hunishindi mimi...sijui dada wa watu kamfanya nini...anaendelea tu kumbully.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Kashatumbua. ..huko nenda kwa panzi au kwake.yaani huyu kichwa panzi kamuweza.kichwapanzi is the Beast! !!!! Mpaka kakubali...jamani kweli kilakitu kinamwisho..tena mwisho mbayaaaa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Bado tu kunyang, anywa watoto...maanake kasha data..
  12. K

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Mbona wenzake wametoka kina shami wote hawatukanao. Huyu kupokelewa ngumu MTU gani hana kiasi na haaminiki si ccm si ukawa. Mitandao imemharibia future yake kwa kutaka kuonyesha watu umwamba. Blog ile ndo chanzo...nadhani anajuta sasa. ..wenzake wote wamemdharau...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Ulimbukeni tu ndo unamsumbua...hakuna jipyaaa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Tatizo hakubali kama anatatizo na anahitaji msaada...kama ni boat karibu inazama. ...kiburi kibaya sanaaa
Back
Top Bottom