pole na ongera kwa kuliona hili pia pole kwa uwamuzi unaoonekana kama unaujutia. hauko pekeyako tupo wengi tulioamua kukuunga mkono kwa kwenda shule ila bado yanayo kusibu yanatusibu wengi pia. ila usibadili uwanja kwa kuwa matatizo yamezidi kumbuka imesemwa matatizo yakizidi ufumbuzi unakaribia...
achana nayee maana umri alionao na matusi yake havishabihani lakini utamjuaje mtu, matendo na maneno ndio darasa tosha tuwaache waendelee na matusi wakija kutubu wananchi watawauliza tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.