Recent content by KOKUBELWA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Taarifa za karibuni ni kwamba, pamoja na kusimamishwa kazi bado blandina anaenda ofisini na kujifungia na internal auditor, na external auditor wanachofanya wanakijua wao, ina maana kamdharau waziri mkuu aliyetamka kumsimamisha kazi, anasafisha nini mle ofisini?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Hii inatisha mwenyezi mungu atahukumu mpaka achoke, watu wengine ni wakala wa shetani na freemasonly kuacha wagonjwa wanakufa hovyo ilikuwa ni hujuma ya kukusanya damu kwa ajili ya kafara zao, jamani watu tumuombe mungu sana hali inatisha tanzania hii iliyokuwa kisiwa cha amani. Mama huyu...
Back
Top Bottom