Bwana Lunyungu.
Naona wewe bado uko usingizini kabisa. Hiyo Celtel iliiibia Kampuni yetu ya TTCL na kuanzisha ya kwao. Ilipoanzisha wakaipiga teke TTCL. Hivyo Celtel ni mali ya wizi kutoka TTCL.
Hiyo Zantel nayo hebu ichunguze vizuri. Hapa Tanzania kila kitu kina mtu wake anayekula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.