Kama ulifanya mara moja na kwa maandaliz mazuri basi ni vigumu sana kupata HIV wataalamu wanasema michubuko ndo tatizo kubwa lkn pia ukimwi unaweza kupatikana kwenye damu kanzia week mbili tangu umeupata hiyo ni kwa mujibu wa madaktari watafit wa nimr muhimbil
Hivi hii tabia ni ngeni kwa chadema ya utekaji wa wagombea.? Je ni mkakati upi chadema wamewahi kufanya ili kuondoa visingizio vya namna hiyo, napata mashaka na uwezo wa viongozi kama wameshindwa kupata mwarobaini wa hili tatizo, ushauri wa bure ni vima ukawekwa utaratibu wa kurdisha form kwa...
kumekuwepo na tatizo kwa watanzania walioweng wanapoenda kwenye ofis za serikali za mitaa kutaka huduma wanaambiwa waje na barua za wajumbe wa serikali za mitaa.wote tuajua kuwa wajumbe wa serikali za mitaa ni mawakala wa ccm.je kwa mfumo wa huu wa vyama ving ni sahihi kulazimishwa kupata barua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.