Recent content by Kogamayo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naanza kunusa kitu cha Moto ACT Wazalendo

    Lakini mbona Mama Annah ndiye mwenyekiti na Zitto ni Kiongozi Mkuu wa chama? Huyo mama anataka kupewa uenyekiti utu tena?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vyanzo halali vya Mapato ya Vyama vya Upinzani hususani CHADEMA na CUF viwekwe wazi, mbali na Ruzuku

    Hivyo viwanja vya CCM walivyojenga wao kama chama ni vipi? Eti Kirumba Mwanza,Kambarage Shinyanga,Kaitaba Bukoba,Karume Musoma,A H Mwinyi Tabora,Jamhuri Dom na Moro,Mkwakwani Tanga Maji Maji Songea Sokoine Mbeya etc ni vya CCM.Ni wana CCM gani waliojenga viwanja hivi peke yao? Kwa hakika viwanja...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kama Rais mwenyewe anashindwa kuonesha uzalendo sisi wananchi tutaweza?

    Nadhani Rais katumika bila ya kujitambua.Yeye ni shabilki wa Real Madrid lakini alisahau kuwa yeye ni Rais wa nchi.Washauri wake wana kazi ya kumshauri.AU HUWA HAAMBILIKI?
Back
Top Bottom