Recent content by kochakindo

  1. kochakindo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamteua Gerva Bernard Lyenda kuwa mkuu wa Idara ya Habari

    Lyenda kazi njema kaka wewe unaweza
  2. kochakindo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bila Tundu Lissu Kuachiliwa na CHADEMA Kuruhusiwa, uhalali wa Rais Samia Suluhu utahojiwa

    Hakuna mtanzania anayepigia kura ccm karne hii
  3. kochakindo

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Kampeni ya “No Reforms, No Election” na Mapendekezo ya Hatua za Haraka

    Sasa unataka kampeni iendelee kupiganiwa na nani?. Kwani hujui kuwa chama kimezuiwa kufanya shughuli za kisiasa, mwenyekiti yupo gerezani??
  4. kochakindo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    Polepole yupi ?? Au niyule aliyetangaza kukiuzulu??
  5. kochakindo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vunjo: Kimei aulizwa, Ukiwa bungeni ulisema Vijana wa Vunjo tunafanya kazi haramu, leo hii unakuja kuomba kazi kwa watu haramu, unafikiri tutakupa?

    Kama kule kahe na kata ya kahe Mashariki ndio hakuna alichokifanya kabisaaa
  6. kochakindo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge wa CCM: Nimekuta Nati za Matairi ya Gari langu zimefunguliwa tukiwa njiani kwenda kwa Wajumbe

    Kumbe wenzetu ccm hadi wakuu wa Usalama pia wanawalinda
  7. kochakindo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

    Tujikumbushe utabiri wa Shekhe Yahaya
  8. kochakindo

    JamiiForums Tanzania Heche na genge lake wamefanya ziara Mkoa wa Kilimanjaro, lakini wamegwaya kupita Wilaya ya Hai. Hakika Mbowe anaogopwa

    Kwani Boma ng'ombe ni jimbo la wapi ?? Siku ambayo Boni Yai alisema hatulindi mtu tunalinda dhamira alikua jimbo gani ??
  9. kochakindo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Kahe Mashariki wamkabidhi ndafu mbunge Dkt. Kimei kwa utendaji bora

    Kama kuna maisha ya aibu na karaha basi niwakazi wa kahe Mashariki huyu mbunge ni mzigo mkubwa sana, zahanati ya Kyomu ni zahanati ya miaka mingi sisi tumetiwa hapo Mpaka leo imeshindwa kupata hadhi kubwa haina gari la wagonjwa na pale kuna wakazi wengi sana takribani Vijiji 3 vinavyoizunguka...
  10. kochakindo

    JamiiForums Tanzania Jibu la Halima Mdee kuhusiana na msimamo wa Lissu juu ya Wabunge 19 (COVID 19)

    Kwani lissu anajibizana nao au yeye aliulizwa na mwandishi ??
  11. kochakindo

    JamiiForums Tanzania Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

    Ccm wajinga sana yani wameshindwa kutulizana kwenye chama chao sasa wanataka kuwekeza chuki Chadema hamta weza kamwe wehu nyie
Back
Top Bottom