Ninaomba kuelekezwa kama mtu hana kitambulisho chochote na ana NIDA namba tu je wanakubali uende na nini ili uchukue barua pale Rose Migiro.? Barua ya Serikali za Mitaa inatosha??
Binafsi sielewi nan anapanga ila kuna watu wanajitolea huko MDA na wanalipwa si haba. Imagne mtu anapewa 900K bila kodi au makato.,😃😃😃 hela ambayo anapewa Afisa Kilimo Halmashauri tena na makato juu. Mungu asimame katika haya jaman
Utumishi oral tumefika kwa mbinde mikeka haitoki.
Polisi nao wametoa kazi leo siku ya tatu hapasomeki mtandao haukamatiki. Cha kushangaza kuna taasisi watu wanajitolea mwaka wa tatu plus na wanalipwa za kutosha yani unashindwa kuelewa hao wanaojitolea walipita wapi na tangazo la kuomba kujtolea...
Huu mtandao wa Maombi ya Polisi huko kwenu upoje jaman. Leo Siku ya tatu hamna kinachoendelea mtandao mbovu balaa. Je polisi wameongeza mda wa maombi??
Kama wanakwambia Kilimo cha matikiti maji kinalipa wala usipuuze nenda tu uwe unalima wakati ukisklizia. Placement hapo inaweza kuwa September ikipendeza saana January 2025
Lakin naskia kuna watu huwa wanapigiwa sim za kufata barua halaf mkeka unakuja kutoka baadaye
Yani unapigiwa kama leo halafu usjachukua barua wiki mbili baadae jina linatoka
Ndugu zetu tuamke Tumuombe Mungu IT Kesho atukumbuke. Binafsi nikiangalia status ya portal nazidi kuomba Mungu atufikishe upande wa pili. Ila swali n moja je wataajir kabla ya mwaka wa bajet kupita au??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.