Jf imekuwa jukwaa la udaku. Hii sio ile Jf ya great thinker niliyokuwa naijua. Kila time inavyokwenda wapumbavu wanaongezeka na werevu wanapungua. Na ndicho nachoona kwa Luca. Sio kwamba hatakiwi kuchangia humu, ni uhuru wake ila hata yeye anajua kabisa aandikacho ni tofauti na uhalisia na hapa...
Kwani kushukuru ni kitu gani babu? Kuna time mvua alikata kabisa ila ilivyoanza kunyesha akashukuriwa JP, so hayo yalikuwa ni mambo ya kawaida kwenye utawala ule
Uwe unasikikiza mpaka na kudadisi kabla haujaonekana humu. Hilo ni swali kaulizwa na muumini wake na hilo ndo jibu alilopewa. Kwani hata angekuwepo ingeondoa uhalisia kwani? Jamaa hana mkono wala ushawishi wake kwenye ujenzi wa huo msikiti. Jikaze tu hata kama unaumia
Najua chawa mnaumia sana maana kama zikipunguzwa tu na kazi zenu humu mtandaoni zitakuwa kwishney. Sijui ni kwa nini chawa wa ccm wamekasirishwa na kauli ya mbowe kiasi hiki
Wewe mwana CCM unataka chadema iwe ya moto ili ufaidi nini. Kama imepooza ni ndo furaha ya ccm? Tatizo lenu ninyi mapimbi harakati mnazokuja nazo zinafanya mstukiwe matamanio yenu. Tunasemaje, mbowe mi5 tena!
Wewe nae ni mpumbavu usiejua kuchanganua mambo, kwa hiyo wewe unataka kila siku Lissu awe mtaani au kwenye vyombo vya habari Just kuwafurahisheni nyie wapumbavu? Sa100 mbona ni rais ila ndani ya siku hizi mbili hasikiki? Sio kila time unakuwa kwa media kenge wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.