Sa c unaona hata anavyo kujibu, kama angekua analengo la kuolewa na wewe ulivyo muliza ana plan gan na wewe, atleast angekupa plan zake kwako, na si kukwambia plan zake na zako hazivaan na kukaa kimya,
Mapenz yananguvu sana, lakin kudate na single mother ni hatari kwa afya yako, mda wowote anarudiana na baba wa mtoto wake, yan inshort kudate na singo mother ni sawa na kudandia mtumbwi wa vibwengo asee all in all accept the situation then move on, na umsahau kbsa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.