Nilikutana na binti mmoja chuoni nikampenda sana na yeye alinipenda tukamua kuwa wapenzi na kwakuwa alinipenda,ilimbidi aniweke wazi kwa kila kitu.Aliniambia alikokuwa alikuwa na mpenzi wake ila waliachana baada ya kubaini kuwa mpenzi wake huyo hakuwa mwaminifu.Kwa furaha kubwa niliendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.