Recent content by KndNo1

  1. KndNo1

    Ni sababu ipi Toyota Hilux kuwa na bei ya juu kuliko Toyota nyingi sokoni?

    Bei ya gari ni kulingana na ukubwa..material yanayotumika.. Size za magari Passo<IST<Crown<Rav4<Hilux/Prado<Landcruiser..! Na bei zimejipanga hivyo hivyo..!
  2. KndNo1

    Maji kutoka kwenye bomba la kutolea moshi

    Kama gari ni ya petrol haina shida.. Moja ya end products za kuchoma petrol ni maji..!
  3. KndNo1

    Gari ngumu na imara inayoweza kuvumilia shida

    Toyota Probox..! Mchomoko..Inavumilia mateso..! Ngumu kama Pujoo 504..!
  4. KndNo1

    Uzito wa mzigo kwenye gari

    Hapana.. Sio sawa..!
  5. KndNo1

    Zifahamu Engine oil

    Hapo zamani nilimaanisha zenye kilometers nyingi..
  6. KndNo1

    TAHADHARI: Oil nyingi za engine za magari mtaani ni majanga

    JituMirabaMinne ..Aisee umefanya vizuri sana kuhamia eneo jipya.. Maana pale mwanzo jina la Mwembe chai linafanana na fundi chini ya mwembe.. Kuna vijana wangu wengi walikuwa wanaogopa kuja hapo.. Huyo mmoja wao mpaka pesa ilipomtoka ndio akaacha ubishi..! Halafu hizi garage zenye majina...
  7. KndNo1

    Zifahamu Engine oil

    Aisee hapo inawezekana gari imeanza kuzeeka.. Inahitaji oil nzito.. 5w30 ni nyepesi sana kwa gari za zamani..!
  8. KndNo1

    Zifahamu Engine oil

    5 sio baridi.. Ni viscosity.. Technical term..!
  9. KndNo1

    Zifahamu Engine oil

    Hizo ni technical terms.. Kama cc..
  10. KndNo1

    Zifahamu Engine oil

    Ni kucheza na manual zake.. Na vile huwa zinauzwa mpya kwa dealers then watakuwa na maelezo kamili..
  11. KndNo1

    Sasa ni siku ya 3 taa ya airbag haizimiki

    Low voltage kwenda kwenye computer ya gari ECU.. Inaichanganya.. Inatrigger codes nyingine.. Kuna gari kama BMW itawasha taa ya 4x4 battery ikiwa chini..! Atafute battery iliyo nzuri kucheki kwanza..!
  12. KndNo1

    Sasa ni siku ya 3 taa ya airbag haizimiki

    Battery inaweza kuwa sababu.. Tafuta battery mahali utest mitambo..!
  13. KndNo1

    Bimmer na Landcruiser V8

    Ndio King of The Road..!
Back
Top Bottom