Recent content by KMkhalid

  1. KMkhalid

    Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    K Kwa sasa nipo na civil contractor. Hawana kazi nyingi na za mara kwa mara. Kazi husimama hasa baada ya malipo ya serikali kusuasua. Sio mahali pa kutegemea Ahsante sana ndugu. Leseni ya udereva ninayo pia. Hizo websites za hiyo migodi, nakesha humo siku nzima wiki hadi wiki.
  2. KMkhalid

    Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    K Kwa sasa nipo na civil contractor. Hawana kazi nyingi na za mara kwa mara. Kazi husimama hasa baada ya malipo ya serikali kusuasua. Sio mahali pa kutegemea.
  3. KMkhalid

    Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    Nilikuwa mbinafsi, sikatai. Ama "anti-social" naweza jiita hivyo, japo sikuchukiq wengine. Nilikuwa mpole tu na kujitenga tenga mwenyewe, tangu nikiwa mdogo mpaka utu uzima, pale chuoni. Ni hulka niliyokuwa nayo ama tabia ya ngozini. Lakini nakiri imeniathiri kijamii, nikashindwa kuwa na jumuiya...
  4. KMkhalid

    Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    SI kweli kwamba nina hiyo miaka. Umri nilioutaja ni sahihi kabisa. Hata miaka hiyo nilipomaliza primary, bado wito wa kwenda shule za kata ulikuwa bado ni mkubwa. Kuhusu GGM, kiukweli hapa nilimess up mwaka jana. Ndo maana nasema sijaelezea matukio bali matokeo yangu ya darasani. YES! GGM...
  5. KMkhalid

    Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    Sio kipindi zinaanza rasmi. Lakini ilikuwa ni kipindi ambacho bado shule za kata zinapewa kipaumbele sana. Mwaka 2010 ( Std 7)
  6. KMkhalid

    Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    M Mkuu! Hali zetu za kifamilia zilitufanya tusibakishe hata senti 1 ya ule mkopo wa baada ya miezi miwili ya kila semister. Kutokana na kwamba ukipokea mkopo ndo huohuo unatuma nyumbani kwa wazazi/ndugu. Nao pia wapate ahueni, utaweza vipi kusave hapo na kufanya biashara. Binafsi ilikuwa...
  7. KMkhalid

    Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    Ahsante sana mkuu! InshaAllah nitafika huko.
Back
Top Bottom