Recent content by Kluivert

  1. K

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jitahidi kufuatilia kwa makini siasa za kimataifa za Dunia.Mifano yote uliyotoa haifanani na hali ya Ukraine kwa Russia.NATO wameweka wazi nia yao ya kuisambaratisha RUSSIA,kuingiza UKRAINE kwenye umoja wa NATO ni katika kutekeleza mkakati huo.Ukitaka mfano sahihi ni CUBAN MISSILE CRISIS ya...
  2. K

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu umeongea kwa usahihi sana.Wengi wanataka PUTIN afanye wanayowaza wao kwenye akili zao.Muda umefika sasa mpaka military analyst wa West wamekubali kwamba RUSSIA anapata ushindi mkubwa kwenye uwanja wa vita.Juzi BBC ambalo ni shirika la serikali ya Uingereza limetoa taarifa yao inkionyesha...
  3. K

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    hakuna wa kuzuia hypersonic missile yeyote.Ni kama kusema unaweza kuipiga risasi kw risasi nyingine,uwezekano ni mdogo sana.Tofauti ya hypersonic nyingine kama Khinzal na hii Oreshnik ni ukubwa wake na uwezo wa kubeba vichwa vya nuklia.Oreshnik inabeba vichwa sita na kila kimoja kina mabomu...
  4. K

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu embu share na sisi hizo taarifa za kuangamizwa command post za Russia,pengine unayo source reliable But Please usituletee source za CNN,SKYNEWS,BBC,VOA etc,hawa ni sehemu kamili ya disinformation na propaganda war ya UKRAINE na NATO hawaaminiki hata kidogo.Navojua mimi storm shadow zimekuwa...
  5. K

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sio mikwara,unaona nguvu aliyoipata Iran kwa siku za hivi karibuni ni matokeo ya kukiuka Red line za Putin.Defence capability ya IRAN imekuwa boosted sana kwa kupewa S400 na ndio maana uliona Israel ilibidi arushie makombora akiwa km 100 ndani ya IRAQ kwa kuhofia usalama wa ndege zake.Hata...
  6. K

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Kwa nilivofahamu mimi,Arsis kajipambanua kama kiumbe katika viumbe wa Allah,hajawahi jitangaza kama jini.Isipokuwa amejenga urafiki na Jini bakora na babu yake Simba kwa sababu walisaidia kumtoa kifungoni.
  7. K

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tutajie vita ngapi alizoshindwa tuongeze maarifa.
  8. K

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    We mwerevu tuhabarishe ya kwako.Hapa tunabadilishana mitazamo ya mambo.Jukwaa litapenda sana ukitupa mlinganisho wa vita hii na ile ya USA na NATO kwa Iraq.
Back
Top Bottom