Recent content by Klassika

  1. K

    Tupeane uzoefu wa zao la Korosho wakati wa kupiga madawa

    Nashukru Sana Fungafunga Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Tupeane uzoefu wa zao la Korosho wakati wa kupiga madawa

    Jamani hivi waweza kupanda miche mingapi kwenye ekari moja, nami pia nataka kufanya kilimo cha Korosho, naomba munipe uzoefu kwa Wale ambao mulishaanza tayari. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Tupeane uzoefu wa zao la Korosho wakati wa kupiga madawa

    Jamani mie nategemea kuanza kilimo cha korosho hivi eka moja inachukua miche mingapi na nafasi ya upandaji Kati ya mche na Mche inakuwaje. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Jamani kwa watu wa Masasi mashamba yanauzwaje ambayo hayajasafishwa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom