Tupeane uzoefu wa zao la Korosho wakati wa kupiga madawa

ndanda masasi

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
772
1,175
Mimi nimeanza na Kiuadudu 'Suba Chlo 55EC+' yenye viambajo Aminifu
1. Chlorpyifios 50%
2. Cypemethrin 5.0%
3. Inert ingredients 52.0%

Nilichanganya na 'MULTI-TRIACARB 500SC' yenye Viambajo Aminifu
1. Triadimenol 25%
2. Carbendalzim 25%
3. Inert ingredients 100%

Baada siku tatu nikapuliza Sulphur.

Je wewe kwako umefanya je
 
Mimi nimeanza na Kiuadudu 'Suba Chlo 55EC+' yenye viambajo Aminifu
1. Chlorpyifios 50%
2. Cypemethrin 5.0%
3. Inert ingredients 52.0%

Nilichanganya na 'MULTI-TRIACARB 500SC' yenye Viambajo Aminifu
1. Triadimenol 25%
2. Carbendalzim 25%
3. Inert ingredients 100%

Baada siku tatu nikapuliza Sulphur.

Je wewe kwako umefanya je
 
Mimi nimepuliza Duduba yenye cypermerthrin 10% na chlorpyrifos35% nikachanganya na yara Vita tracel Bz yenye madini mbalimbali muhimu pamoja na weter ya supergro after two weeks narudia kwa kuongezea hexavil au movil ya ukungu.
 
Hongereni kwa kulima Korosho,zikianza kuzaa hizo umasikini kwaheri..
 
Back
Top Bottom