Recent content by kkitabu

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nimepata gagaziko baada ya kuona hii video ya Bashungwa. Hivi hawa wanasiasa wanatuonaje Watanzania?

    Mwacheni Mbunge wetu tunapenda namna anavyoishi na watu wote bila kubagua.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya elimu ya juu imeanzisha chama cha kusaidiana kufuata dini ndani ya Ofisi ya serikali

    Mimi sioni tatizo mishahara ni ya kwao sisi haituhusu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Mwinyi tunaomba mjenge barabara ya kuuunganisha Unguja na Bara

    Serikali yetu hatimaye itafanyia kazi ushauri huu ili kuwaokoa watanzania wenzetu wanaoishi Zanzibar. Mama Samia oyee
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Mwinyi tunaomba mjenge barabara ya kuuunganisha Unguja na Bara

    Wazanzibar hii inawahusu sana michango yenu kwa wingi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Mwinyi tunaomba mjenge barabara ya kuuunganisha Unguja na Bara

    Hamna shida yeye ataelekeza boat zake Pemba
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Mwinyi tunaomba mjenge barabara ya kuuunganisha Unguja na Bara

    Ili kupunguza makali kwa wanzazibari Rais Samia kwa kushirikiana na Mwinyi jengeni bara ya lami kuunganisha Unguja na Bara. Hii itasaidia maroli na vyakula kutoka bara kwenda kuingia kwa urahisi visiwani. Aidha ni ukweli usiopingika kwamba gharama ya vyakula ipo juu. Na pia itapunguza kero...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    Hapa Jukwaani siku hizi kuna watoto wengi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    Theories za electromagnetism na Maxwell equation
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

    Kwani kuna ubaya nani kuboresha Chou cha reli Tabora. Kwa uelewa wangu Tabora pia kuna chuo cha reli
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Mh Gwajima tulikuona ukiongelea Liganga na Mchuchuma, ukumbuke pia kusemea suala la barabara
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Halafu kutwa nzima mnalalamika kuwa hakuna ajira wakati wanapewa wazanzibar pambana na hali zenu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Shaka kuwa Mkuu wa Wilaya ni anguko haswaa

    Katiba inasemaje, Je, Mzanzibari anaruhusiwa kuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya huku Bara nisaidie mimi sielewi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Pia, Barabara hii inaunganisha jimbo la Kibamba na Kawe. Hivyo tunaomba wabunge husika washirikiane na kuhakikisha ujenzi unaanza.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Kama ni hivyo, mamlaka wanatakiwa kutoka na kudadavua kwanini ujenzi haujaanza?
Back
Top Bottom