Recent content by Kk Maneti

  1. K

    Vifaa Vya Salon ya Kike Vinauzwa

    Hamna udalali mkuuuu ni mali zangu zote hizi
  2. K

    Vifaa Vya Salon ya Kike Vinauzwa

    Uko mkoa gani mkuu kma naweza kukutumiaaa
  3. K

    Vifaa Vya Salon ya Kike Vinauzwa

    TshOTE="makenze, post: 15691592, member: 254894"]Bei ya dryer Tsh 100,000
  4. K

    Vifaa Vya Salon ya Kike Vinauzwa

    Kila Draya moja ni tsh 100,000 na steamer ni tsh 150,000 kwa kila moja......tv inch 18 pamoja na king'amuzi tsh 80,000.....sofa ya watu watatu ni tsh 80,000
  5. K

    Vifaa Vya Salon ya Kike Vinauzwa

    Vitu vya salon vinauzwa 1.Draya 7 Made In Italy Zimetumika miezi mitatu tu 2.Steamer 2 3.Sofa ya watu watatu 4.Beseni la kuoshea kichwa 5.TV na king`amuzi chake cha Startimes Contact me kwa namba 0717 242311...Vifaaaa viko Dar es salaam
  6. K

    Natafuta toyota vitz ya bei ya tsh 4.5m

    Weka namba yako ya simu..tuongee biashara Mkuu...!
  7. K

    simu inauzwa

    Unauza kiasi gani hiyo Huawei...?
  8. K

    Toyota Vitz for Sale....

    Namba ya gari ni BJP na inauzwa sababu. Nimepata safari ya nje ya nchi kwa muda wa miaka mitatu...!
  9. K

    Toyota Vitz for Sale....

    Picha zinagoma kua upload mkuu nimehamgaika nazo sana..
  10. K

    Toyota Vitz for Sale....

    Ninauza Toyota Vitz Ina Sifa Zifuatazo.. 1.Make...Toyota 2.Colour...Golden 3.Year of Manufacture..2003 4.Seating Capacity..5 5.Engine Capacity..1297 PRICE..TSH 6MIL.... Gari iko Maeneo ya Learders Club..Kinondoni Serious Buyers Contact 0715 154 154 For more Details or 0717 806 626 For...
  11. K

    Mtaalamu wa PROPOSAL......

    Natafuta mtaalamu wa kuandika proposal kwa ajili ya kuandaa Tamasha.....kwa anayeweza au anayejua.....Nipe bei na unawexa kuandaa kwa muda gani...?
  12. K

    Tigo pesa line...for sale....!

    Ninauza line ya tigopesa.....kwa anayehitaji awasiliane nami kupitia simu no 0655 14 41 41 nipo dar kinondoni....sababu za kuuza nimepata uhamisho kwenda mkoani...
  13. K

    natafuta line ya tigopesa

    Nnayo piga 0655 14 41 41
  14. K

    Nyumba inapangishwa nyumba ya kisasa

    Nyumba inapangishwa iko maeneo ya kinondoni karibu na biafra, nyumba inasebule kubwa,dining,vyumba vitatu na kimoja ni master bedrum,maji 24hours. Nyumba inaparkng gate,fance. Kwa mawasiliano piga 0718999987. Kodi ni laki sita kwa mwezi
Back
Top Bottom