Recent content by kjohn

  1. K

    Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais fukara

    OK! watanzania hawahitaji kiongozi fukara wala maskini wanahitaji kiongozi mzalendo mwenye huruma na aliyedhamiria kuiondoa nchi kwenye umaskini endelevu ulioletwa na ccm rais ajae anatakiwa awe na maamuzi magumu mwenye kupunguza matumizi makubwa hasa kwa viomgozi wa serikali na wabunge...
  2. K

    Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais fukara

    Hataki mafisad na wala rushwa why? wakati ya waliokula na kugawana viroba vya fedha za escrow askofu kilaini na benki ya mkombozi inayomilikiwa na kanisa katoliki ndo ilikuwa mmoja wa mlango wa kuibia fedha za watanzania je nae hamtaki 'toa kwanza bolti kwenye dini yako ndo utaona mafisadi na...
  3. K

    Tamko la Wananchi juu ya Serikali

    kwani yeye ndo nani mpaka tumjue!!!!?
  4. K

    Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

    heloo mr president unaonekana wewe ni rais wa vichaa duniani, na hujui maana ya shetani inawezekana na wewe ni mkuu wa mashetani unaeishi duniani, una maana huyo kiongozi wako wa kiroho anashi mbuga za wanyama au kwenye nyumba, wewe una huyo mtumishi anayekuogoza kiroho anatumia usafiri wa...
  5. K

    Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

    Imetusikitisha sana kumbe nyuma ya kashfa alikuwa akidaiwa Askofu Gwajima juu ya Kardali Pengo ilikuwa ni ufunguo tu wa serikali kuingilia Imani na Utendaji wa Viongozi wa kidini (Askofu Gwajima) Iweje kashfa iliyokuwa inamuhusisha Kardinali Pengo na Askofu Gwajima ipelekee kuhojiwa na Kudaiwa...
  6. K

    Tamko la Wananchi juu ya Serikali

    Mitandao ya kijamii inaonyesha Jeshi la polisi linatumiwa vibaya na viongozi wa kisisasa waliopo madarakani, jambo la kutoleana makalipio na lugha za kutokuelewana kati ya Askofu Gwajima na kaldinali Pengo limetoa sura halisi ya Jeshi hilo kutumiwa na wanasiasa walipo mdarakani kwa kulishinikiza...
Back
Top Bottom