Mkuu mwamba alikosea ingawa kwenye maelezo amesema tu kuwa walikosana kitu kidogo yeye kwake anaweza kuona kidogo ila kwa bimkubwa yeye aliona kidogo kumludishia mama ako kibao then kumpiga mzee wako teke ni ujasiri hata kama ni hasira bora ungekimbia ila syo hivyo ulivyofanya ulikosea ni bora...
Mkuu Gwajiboy akihamia chama kingne halaf wote wakaingia kupiga kampeni halaf wasiibe kura huyu Mama hatoboi hagusi hata anapigwa za uso asubuhi na mapema yaan huyu syo lisu wa kuatack mtu huyu anaongea fact waiingie ulingo wa siasa wapime uzani mama yenu hatoboi tena nilikuwa sina mpango wa...
Ninachojiuliza ni kwamba watu wote tukaacha njaa tukaamua sasa kuwa kitu kimoja tukakemea huo uhalifu hivi watatuua wote then watawaongoza wapi
Au waungane wale wote waliofiwa na ndugu zao kama Ben saa nane,kibao Azori nk ni wengi siwezi kuwamaliza yaa wahanga wote waanzishe kama kituo fulani...
Habar za leo mabibi na mabwana kuna pooltable linauzwa na pia printer inauzwa mkoani njombe wilaya ya makete bei pooltable 800k na printer 370k karibuni sana
Wakuu, Habar za leo mabibi na mabwana ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku
Kuna pooltable linauzwa bei ni maelewano liko vizur lipo mkoa wa njombe wilaya ya makete kwa mawasiliano 0776736062
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.