Recent content by kizunga jr

  1. K

    Dereva mtandaoni, natafuta gari ya mkataba

    Bila shaka kwa izini ya allah ntaweza .
  2. K

    Dereva mtandaoni, natafuta gari ya mkataba

    habari ya muda huu wakuu naitwa kessy napatikana temeke ni dereva wa mtandaoni mwenye uzoefu usio pungua miaka2 na nusu nina uwitaji wa gari lakufanyia kazi niko tayali kuudumu kwa mkataba ama hesabu napatikana kwa 0745003679 asante.
  3. K

    Natafuta mtu mwenye account ya Uber/ Bolt na haitumii kwa sasa

    Doo..., acha kiumane we una gari mi sina chuma ila namiliki accnt zote bort, uber, pink.
  4. K

    Dereva mtandaoni, natafuta gari ya mkataba

    Habari, Mimi nikijana wa Kitanzania mkazi wa Temeke Dar es Salaam nina uhitaji wa gari namaanisha natafuta boss wa mkataba ama hesabu kwa tax mtandaoni malufu kama Uber. Nina acount ya Uber, Bolt na litle ride zote ziko active nina uzoefu wa miaka2 kwenye kazi hii nina reseni staiki inayo...
Back
Top Bottom