Me napokaa iwe mvua iwe jua maji ni ni j4 na jumamosi....na kuna familia yangu moja iko kinyerezi inasema mara ya mwisho kuona maji ni siku mama alivyokua na mkutano wa kampeni dar.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza. Tulivyofika chuo tulipaswa kulipia bima ya afya 50400, lakini mpaka sasa hatujapatiwa hizo bima na semister inaenda ukingoni.
Tulivyojaribu kufatilia walisema kuna namba za bima tutapewa zitatumika kipindi ambacho tunasubiri bima, lakini pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.