Recent content by Kizoo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Rombo huuza ndizi fuso 30 kwa wiki

    Maombi yanahitajika maana ukanda wa chini ni hatar tupu, mazao yote shambani yamekauka na tunakatia ng'ombe na mbuzi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi, mtaalamu wa sheria Afrika na duniani

    Namuombea kwa Mungu taalumu imwongoze na sio siasa ije imtawale.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Abdallah Bulembo na Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Wabunge

    Nahisi kuna mabadiliko mbele ya safari.
  4. K

    JamiiForums Tanzania IMF warns Tanzania of downside economic growth risks!

    Tunaomba tuwekee habari ya mwananchi inayosema " IMF yaionya Tanzania kuhusu kubana matumizi" ili tuoanishe ni hii habari.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahutubia wana Kagera: Aitaifisha shule ya Omumwani inayomilikiwa na CCM

    Anasisitiza bado serikali haitajengea mwananchi nyumbani.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahutubia wana Kagera: Aitaifisha shule ya Omumwani inayomilikiwa na CCM

    Shule ya chama imerudishwa serikalini. (Shule ya wazazi) Wanafunzi wote waingie kwenye serikali.
Back
Top Bottom