Recent content by kizoleo

  1. kizoleo

    Wataalamu wa mambo haya

    Ahsante kwa majibu mazuri dr. Je kwa mtu kama huyu ana nafasi gani katika kushiriki tendo la ndoa bila kupata mimba zisizo tarajiwa ukilinganisha na muda atakaokaa bila kuona mzunguko wa siku zake?
  2. kizoleo

    Wataalamu wa mambo haya

    Wakuu ni muda gani huchukua baada ya mwanamke kutoka kujifungua, na kuanza mzunguko wa siku zake?
  3. kizoleo

    Rais Nkurunziza wa Burundi aja kuhubiri injili Tanzania

    Kwa udini tulio nao hapa Tz, Rais kuhubiri dini hali ya kuwa anawaongoza watu wenye Imani tofauti, angeshahukumiwa kuwa yeye ni mdini. Hii ni kwa Tz tu lakini.
  4. kizoleo

    Gitaa linauzwa!

    Huu ni udhalilishaji wa kijinsia
  5. kizoleo

    Pliz B Honest.........

    Huyu mdau lengo lake tufahamu kuwa huyo kicheche kesha mgegeda.
  6. kizoleo

    Mvua kubwa Temeke tangu usiku, kuna sherehe za muungano?

    Acha inyeshe watu wazidi kuungana zaidi lol
  7. kizoleo

    Naomba kujua gharama za kutengeza sanamu kama lile la Nyerere pale Dodoma

    Duh! Mkuu sasa nchi yote si itajaa masanamu tu.
  8. kizoleo

    Hebu tu-rewind mkanda..Wema Sepetu na marehemu Steven Kanumba..(R.I.P)

    Bila shaka mrembo by nature,nikiwe mmeshapitiwa na diamond komenti zenu tu zinanipa mashaka teh!
  9. kizoleo

    NAULI MPYA: ushauri wangu kwa selikari na Sumatra

    Kwa wakazi wa mbagala hususani ruti ya k'koo mb'gala, kwa nyakati za jioni kuanzia saa moja hadi saa mbili,usiku ni muda wa mateso kwao. Kwani muda huo gari huwa hazionekani kabisa. Serikali kupitia vyombo vyenye mamlaka juu ya jambo hili vilitazame kwa ukaribu zaidi ili kuepuka gharama...
  10. kizoleo

    Ulimwengu na maajabu yake

    Kuna baadhi ya mila ya makabila fulani, inapotokea mtu kupotea katika mazingira tatanishi,na ikapita kipndi kirefu bila kupata taarifa zake! Moja kwa moja huisi amefariki. Hivyo familia husika huandaa mazishi hata kama ya mgomba huupeleka kaburini na kuuzika ikiashiria kwamba ndugu yao hawako...
  11. kizoleo

    Lulu kabla ajajifunza

    Haki ya nani mimi mwonekano wako tu kwenye hiyo avatar yako nipo hoi.
  12. kizoleo

    Msanii Amani wa Kenya...

    Mrembo by Nature!! Nichungulie wakati mwenziyo kaiyachia free to air inaonekana hata ukiwa pande za mlima kilimanjaro!
  13. kizoleo

    Msanii Amani wa Kenya...

    Ingekuwa powa zaidi na wewe yako ukaiyachia ili tuilinganishe na hiyo. Teh!
  14. kizoleo

    Msanii Amani wa Kenya...

    Bwambwa kaliachia litumbuize nalo! Duh! Si mchezo.
Back
Top Bottom