Shida nyingine ni kuwa jamaa anaichora hiyo manuscript ya Quran ya uthman kwenye akili yake.
Na pia analazimisha uwepo wa kitu ambacho kiakili ya kawaida hakiwezi kuwepo kutokana na mila na tamaduni za watu husika juu ya uhifadhi wa written material.
Mi kwa kuwa najua na kufahamu hivyo siwezi...
Mzee nilichogundua ni kuwa unajaribu kuifananisha Quran na biblia wakati ni vitu viwili tofauti na haviwezi kuwa sawa.
Sa hiyo agano jipya si ya miaka ya 1800+ huku Quran ni ya kabla ya miaka hiyo.
Angalizo, hapo haijatajwa biblia ya agano la kale na wala Injili ya Issa (a.s) ko ukija kujibu...
Shida ni kuwa nawe unaenda YouTube kupakua sehemu uitakayo kwa kuandika mfano "the what and what from....." halafu unaposti, sa kwa namna hiyo we utapata majibu ya ukitakacho tu, nadhani kama ulienda chuoni basi haukuwa msomi wa maana, ulihudhuria vipindi ilimradi siku ziende utunukiwe...
Mi nakuambia kuwa Muhammad ameacha kitabu kinachoitwa Quran ila hakuacha mas-hafu ambayo ni mjumuiko wa sura zote za Quran katika kitabu kimoja.
Sasa tulia nikuelekeze, ni hivi Quran ilianza kuandikwa tangu enzi za Muhammad na iliandikwa kwenye magome ya miti n.k lakini mara nyingi ilikuwa...
Tatizo we husomi, huwa unaenda Google unaandika sehemu unayoitaka, mfano Muhammad alisahau Quran unasearch ko majibu yoyote wanayokupa we unatupestia huku.
We ni mkubwa kwangu ila ni mjinga zaidi yangu!
kwenye paragraph ya pili, hifadhi kubwa ya Quran ni kupitia watu.
Kwenye paragraph ya tatu, Muhammad ni wa kwanza then ikafuata Quran kwa sababu Muhammad ndio ameteremshiwa Quran, ko haiwezekani ianze Quran halafu ije Quran, sijui umenielewa we mbumbumbu much knower.
Kama utafanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.