Digtek wako slow kueneza na kutangaza king'amuzi chao kama ilivyo kwa Radio One. Hadi clouds efm zimewapiga. Nadhani wameridhika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada discipline zilizowekwa na Kanisa ndizo zimefanya Kanisa hilo kuwepo hadi leo.
Kwa Tanzania kama siyo Afrika ndiyo Kanisa lililotoa mchango mkubwa Zaidi wa huduma za Jamii ikiwemo Shule; Kusoma, Kuhesabu na Kuandika; hospitali - Afya, maji, kilimo, n.k kwa sababu ya discipline. Bila...
Huyu Jamaa anamatatizo yake. Sijaona hoja yake ya msingi. Kanisa Katoliki linaendeshwa na watu kwa Sheria walizojiwekea - Kama ilivyo kwa taasisi au madhehebu mengine. Hakuna Kanisa au chombo chochote cha dini kinachoongozwa nje ya taratibu zake. Hakuna dini yoyote Tanzania ambako dini...
Huyu Jamaa anamatatizo yake. Sijaona hoja yake ya msingi. Kanisa Katoliki linaendeshwa na watu kwa Sheria walizojiwekea - Kama ilivyo kwa taasisi au madhehebu mengine. Hakuna Kanisa au chombo chochote cha dini kinachoongozwa nje ya taratibu zake. Hakuna dini yoyote Tanzania ambako dini...
Serikali ilifanya maboresho ili kupata hizo Idara na vitengo, labda kama ilikosea itatueleza wakati ukifika. Lakini aliyeandika hii sidhani kama anataka kuisaidia serikali iboreshe shughuli zake. Kwani kuokoa Fedha tafsiri yake ni nini? Serikali kulipa mishahara mizuri wafanyakazi wake inakuwa...
Poleni sana, waumini wa Kanisa la Anglican Sumbawanga na Tanzania; msiingie kwenye mijadala mitandaoni wala vyombo vinginevyo vya habari. Fuateni katiba yenu ya kanisa, kama ina changamoto muitazame upya. Hakuna mtu nje ya kanisa la Anglican atawasaidia kutatua mgogoro huu. Hata mimi wa kanisa...
Mugabe siyo mnafiki, he is real! Lets join him. Watanzania wanatakiwa kupongeza hatua hiyo tena inayotoka kwa mtu wa nje ya nchi. We don't have to promote the negativity, let discourage by ignoring them, do not even mention; if you see them just cool
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.