Recent content by KiyaiYai

  1. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na UKAWA waaibika. Hawajui nani waziri Kivuli baina ya Silinde na Halima Mdee

    Waambie Mkuu...wanachojua ni kumkimbia Naibu Spika tu, Hawatulii kwa Tulia!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa ya kiufundi ya 'Kampeni' za Magufuli

    Jamani kampeni hazijaanza, msiwe mnatuletea mada pre-mature hapa. Wewe unataka aanze kuongea unayotaka wewe ili aadhibiwe na Lubuva? Pombe anajua afanyalo, acheni kujifanya mnajua kumbe....
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya usaliti aliyo nayo Lowassa ilianzia kwa baba yake mzazi wakati wa kudai uhuru

    Iwe Iwavyo, Lowasa hawezi kuwa Rais hata kwa Wameru wenyewe, achilia mbali TZ. Mnaodanganyika atawapa utajiri jitumeni, fanyeni kazi, siyo hivo vibadaboda anavyowapa lita mbili mafuta mfurike kwenye mikutano yake..acheni ukengeuko
  4. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ccm, ccm,ccm
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Sioni habari ya maana hapa. Kwa hiyo ni CDM pekee ndo inasimamisha wagombea...Urais (Lowasa-CDM), mgombea mwenza (Duni-CDM), UKAWA iko wapi hapa?
Back
Top Bottom