Recent content by Kiweli

  1. K

    JamiiForums Tanzania Taifa bado lipo kwenye majanga na maombolezo

    Mkuu ccm wanaishi kwa fear kubwa sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Taifa bado lipo kwenye majanga na maombolezo

    Gentleman wewe ni
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taifa bado lipo kwenye majanga na maombolezo

    Jumla ya hawa wabunge 404 ni wahaini hata ndani ya mioyo yao na nafsi zao wanajua ya kuwa hawakuchaguliwa na wananchi Oct 29.2025
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa Rais unayetesa raia wako, halafu anguko lako lisiwe kubwa. Bing Bang is coming, alama zinaonesha

    Fikra na mawazo aliokuwanayo Rais wa Malawi hayati Kamuzu Banda. Hazina tofauti na Marais wote waliotawala Tanzania wamu zote tano zilizopita hadi hii ya sasa awamu ya sita.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa Rais unayetesa raia wako, halafu anguko lako lisiwe kubwa. Bing Bang is coming, alama zinaonesha

    "Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa ulimwenguni, basi jitahidi uwe hadithi nzuri kwa wale watakaosimuliwa habari zako." Hayati Ali Hassan Mwinyi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Machawa wa CCM na uhalisia wa maisha ya mtanzania

    KAZI iendelee....KAZI ni utu.... Mama yupo kwenye list ya marais wa Dunia wanaolipwa mishahara mizuri. Ushahidi upo hapa kwenye takwimu za kimataifa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tutambue umaskini wa wananchi na vijana ni janga

  8. K

    JamiiForums Tanzania Pepo na roho ya umaskini ni laana mbaya sana unafikiriaje mpaka mtu unafikia maamuzi ya mwisho ya kumuua Binadamu mwenzako?

    Inakuwaje unafanya uovu kwa makusudi kabisa ya mtu, mwananchi au kiongozi unamweka ndani unambambikia kesi za uongo unamweka gelezani kwa muda mrefu huku uchunguzi bado haujakamilika. Unaremote mahakama kama nyumba yako uliyowapangisha wafanyakazi wako. Unafikiria hata mpaka uamuzi wa kumtoa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Pepo la Umaskini ni laana mbaya sana unafikiriaje mpaka mtu unafikia maamuzi ya mwisho ya kumuua Binadamu?

    Inakuwaje unafanya uovu kwa makusudi kabisa ya mwananchi au kiongozi unambambikia kesi za uongo unamweka gelezani kwa muda mrefu. Unafikiria hata mpaka uamuzi wa kumtoa Binadamu uhai wake wa kuishi hapa duniani. Ili umfurahishe kiongozi au boss wako ili akuteue wewe uliyefanya mauaji hayo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Mr Tlaatlaah Binadamu wanaoishi Tanzania sio wajinga kama mifumo unavyofikirisha
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Sawa nimepokea maoni yako Tlaatlaah nyie ndio mnayo hati miliki ya kuitawala Nchi milemile. Mtatuwekea viraka hiyo katiba yenu mpaka pale mtakapoona inafaa iapendeza zaidi. Umaskini ni laana mbaya sana inafikaje Mtu au Kiongozi unafanya uovu kwa kumdhulumu kwa kuutoa Binadamu uhai wake wa...
Back
Top Bottom