Recent content by kiwaya

  1. K

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Nashaanga na kustaajabu habari za kipuuzi zinazoenezwa na CHADEMA juu ya njama za kulipua Helkopa ya Dr Slaa Babu Slaa umri wake sasa ni zaidi ya UZEE nani hana haja ya kupanga kumuua wakati umri tu aliokua nao sasa anachosubiri zaidi ni kifo. Amepoteza umaarufu wa kisiasa sasa ...
  2. K

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Naona CDM wanapumulia mashine mwaka huu wanakesha kutafuta skendo kama magazeti ya UDAKU
  3. K

    KINANA azidi kuitaabisha CHADEMA

    CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake 1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza 2;Dr Slaa...
  4. K

    Nape: CHADEMA wana Kifafa cha Kisiasa! Awafananisha na nguruwe...

    NAPE: CHADEMA WANAUGUA KIFAFA CHA SIASA Sunday, May 5, 2013 *Adai ni vibaraka wa mabeberu kuvuruga nchi *Awafananisha na nguruwe mwenye tabia la kula watoto akiwa na njaa. *Ataka watanzania kuwapuuza *Amuumbua Tundu Lissu *Atetea mchakato wa katiba nchini Nape akizungumza na waandishi, leo...
  5. K

    CHADEMA ni waongo na wazushi ukweli kuhusu shutuma ya KINANA huu hapa

    Dk Nchimbi ajibu mapigo Akijibu tuhuma hizo, Waziri Nchimbi alisema: “Ukiona mtu anasimama na kuamua kusema kuwa hakuna kinachofanywa na wizara kuhusu masuala ya ujangili, ni wazi uelewa wake unakuwa na utata mkubwa.” Alisema hoja zilizojengwa dhidi ya Kinana ni uongo mtupu... “Nimejaribu...
  6. K

    Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

    Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni chama cha uchochezi na wangeni wakitaa. ingawa walitumia muda zaidi ya masaa 9 kutangaza ujio wa...
  7. K

    Tundu Lissu ana deni kubwa jimboni, achukue tahadhari!

    Jamani CCM njooni huku kwa Tundu Lissu jimbo limemshinda kabisa, halitukataza kuchangia shughuli za maendeleo akadai yeye atapigania maendeleo sasa huku hakuna jipya alilofanya zaidi ya kumsikia kwenye vyombo vya habari, madiwani wake wa CDM wamejiudhuru sasa atafanya kazi na akina nani? amekuwa...
  8. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    usiamini kila unachoambiwa tafakar
  9. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    hana uwezo wa kupata dv 2 na wala A Tisa km unavvyoamin wewe vipi chuo adisco afu akudanganye ameahirisha mwaka
  10. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    anajaribu kukopi na kupaste ya maghembe ndio maana anaandaa kilichoandaliwa na wengine kitambo. wajibikana usiendelee kuamini kuwa vilaza wanaweza kukukomboa. utapata mema yza nchi
  11. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    tunawaelimisha nyinyi mnaodhani kuwa mnyika ni mkombozi wenu wakati yeye mwenyewe ameshindwa kujikomboa
  12. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    ana uwezo watu wa ubungo tunajuta kuchagua kiongozi mwenye uwezo mdogo
  13. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    msipende kuamini hata ambalo haliwekani hana uwezo wa kupata dv 2 vip adisco chuo
  14. K

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    1. nikiongozi anaetafuta umaarufu bila kuumiza kichwa chake kama alivofanya juzi bungeni kwa kukopi kazi ya wizara na kudai ni yake na kuwaamisha watanzaia bila kujua watanzania wa sasa wameshajua hana uwezo 2. Ni kiongozi asiyependa kuwa mkweli kadisco chuo anataka waamin kuwa amehairisha mwaka...
Back
Top Bottom