Recent content by Kiwalani finest

  1. K

    Tubaki kwenye ukweli

    Tuhimize watu Wakubali turudi kwenye Maandiko ya Mwenyezi Mungu kila Mtu kwa imani yake . Aliye Mnafiki aambiwe ni Mnafiki Aliye na Ukafiri wa kukiuka viapo aambiwe wewe ni Kafir 😳😳 Kwa sababu Kimsingi Tukisoma katiba yaJamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 26(1)(2) ibara 09...
  2. K

    Mwenyezi Mungu ni wa milele

    Mwenyezi mungu ni mungu wa majeshi Haijaandikwa kwenye biblia Mungu wa wanasiasa Niyapongeze majeshi kwa kazi zao nzuri . Kwa vile mwenyezi mungu ni mungu wa majeshi naomba niyaombe majeshi yetu Tuendelee kumtumainia mwenyezi mungu Akitokea mwanasiasa atushurutishe Mambo yaliyo kinyume na...
  3. K

    Tuache porojo tuje kwenye matendo

    Tuache porojo tuje kwenye matendo hatua zinazochukuliwa kwa mafukara na watumishi wa umma hatua hizo zichukuliwe ndani ya ccm ili kuondoa mionekano ya kiubaguzi na kiupendeleo Nakumbuka Tarehe 25/04/2025 akilihutubia Taifa kuelekea kwenye maadhimisho ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Rais...
  4. K

    Viongozi wa dini

    Ninatambua mchango wenu mkubwa katika kudumisha amani na haki nchini. Hata hivyo, nawaomba muache kabisa kutoa kauli zinazobeba viashiria vya uchochezi wa kuamsha hisia za kidini. Kumbukeni ninyi ni Watanzania mnaowajibika kujisomea maandiko ya kimfumo ya nchi yetu. Jifunzeni vitabu vya mfumo...
  5. K

    Tusaidiane kulilinda taifa

    Tusaidieni kulilinda taifa ninyi vyombo vya dola kwa kujizibuwa na kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi waliomkufuru mungu na sisi raia kwa kuapa na kisha kuishi maisha ya kikafir wakikufuru mchana kweupe. Nikiwa nimevagaliwa na jini tambuzi huko usingizini, nikawa naropokwa tukisoma kitabu...
  6. K

    Hiki ndicho kitakuwa chanzo kikuu cha Wanasiasa kutupwa motoni

    Tukimudu kuwa tunawapa dozi baadhi ya viongozi wanafikitutaisaidia nchi na kuwafanya wanafiki kuelewa ya kuwa Mafukaranawatumishi wa ummanao ni watanzaniahawapendi kuchukuliwa hatuapekee yao huku mijizi mingineikilindwa. Kuisaidia nchi ni kukaa chini na kuifikiria Mifumo ya...
  7. K

    Chama kinachoshinda ndicho huunda Serikali na kuisimamia

    Mheshimiwa Mchungaji, Najaribu kufikiri tu mifumo yetu ya kiutawala. Chama kinachoshinda ndicho huunda Serikali na kuisimamia. Zamani hatukuwa na wasomi, kwa sasa wasomi wapo — tatizo ni kubebana katika kupeana position kunafanya wenye kustahili kuachwa na wasiostahili kupenya. Tiba ya haya ni...
  8. K

    Tusome tujenge hoja zenye mashiko

    TUJISOMEE, TUJUWE MIFUMO ILI TUNAPOJENGA HOJA ZIWE NI HOJA ZENYE MASHIKO Ninakumbuka Tarehe 31/03/2025, Profesa Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana, Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania, Akiwa anaongea mbele ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alisema: Mwisho wa kunukuu. Tukisoma...
  9. K

    Kiongozi asiyesoma mapato na matumizi ni mwizi anayeheshimika, mwenye kulipwa posho akitofautishwa na kibaka mwizi wa kuku mtaani

    Kiongozi asiyesoma mapato na matumizi ni mwizi anayeheshimika, mwenye kulipwa posho akitofautishwa na kibaka mwizi wa kuku mtaani Professor Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana, Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania, akiwa katika Maombi kwenye usiku wa Laillahtul Qadri, nakumbuka tarehe 28/03/2025...
  10. K

    Viongozi watokanao na rushwa hutegemea nguvu ya fedha

    Viongozi watokanao na rushwa hutegemea nguvu ya fedha — haijalishi fedha ni za haramu au za halali. Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati huo akiwa Makamu wa Rais, alisema: Katiba yetu ya CCM ya mwaka 1977, Ibara ya 5(4), inataka tuwaenzi waasisi wa taifa...
  11. K

    Mashetani ndani ya miili ya binadamu

    MASHETANI HUVAA MIILI YAKAWA KAMA BINAADAMU HULA VIAPO NA KISHA HUISHI KINYUME NA VIAPO YAKIWA MAKALI KINYUME NA MAELEKEZO YA MWENYEZI MUNGU KUHUSU UTII NA UNYENYEKEVU HAYO NDIYO MASHETANI Nakumbuka Tarehe 01/06/2021 Dkt Josephat Mathias Gwajima Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Na...
  12. K

    Ndani ya CCM watu wanaogopana nahawataki kuambiana ukweli. Lazima tutafute tiba ya rushwa na tuache unafiki

    Siku tutakapopeana makavu live bila chenga, machawa watakaibika. Siku hiyo itakuwa mwanzo sahihi wa kuitokomeza rushwa na kuunyonga unafiki. Nakumbuka tarehe 13/03/2023, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka — aliyewahi kuwa mtumishi wa mashirika ya kimataifa, Waziri wa Ardhi, Mbunge wa Muleba —...
  13. K

    NIKIWA HUKO NDOTONI

    KATIKA NCHI KUNA MAENEO TUNAONGOZWA NA WAHUNI WASIOKUWA WANASIASA HUKU WANASIASA WA UKWELI WALIO WACHACHE WAKIWA NJE YA GAME NILISIKIKA NDOTONI NIKITEMA CHECHE NIKIWA NIMELALA NIKAANZA NAKUMBUKA TAREHE 05/03/2025 SHEKHE OTHMAN KHAMIS JUMA IMAMU MASJID MWINYIAMANI AKITOA DARSA ALISEMA...
  14. K

    CHEO BILA KITABU

    WATU HAWAITAKI KABISA ELIMU YA VITABU ILA WANATAKA VYEO KWA SABABU GANI !?!? KWA SABABU NI WEZI WALIOVAA NGOZI YA MWANAKONDOO HUKU WAKIWA NI MBWA MWITU. Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko Usingizini nikibwata kuwakemea wezi wenye sura za kiutu huku wakiwa Mashetani yaliyovaa miili...
  15. K

    UNAPOJIFUNZA

    Kujifunza kitu kunatakiwa mtu awe na akili . Mtu asiye na utimamu wa akili ndiye hata hudiriki kuapa kwa Mwenyezi Mungu na Kisha kuishi maisha yanayopiga kiapo huku akiamini anaowaongoza ni Mazamwamwa
Back
Top Bottom