Lakini pia, ukijaribu kufikiria kihekima zaidi, hilo nalo ni pigo kwa adui. Mi naona, kwa mtu mwenye busara, ukimwona adui yako hana muda wa kujibu matusi unayomtukana, lazima utajiona lofa. Kwa ivo, waliomtusi na kumkejeli mh.lowassa akiwemo mzee mkapa, waliona aibu wenyewe. Otherwise, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.