Ufukara si kitu chema kwa kweli, nakumbuka ilikuwa mwaka 2002 niliacha shule Mpwapwa Sekondari nikiwa naingia kidato Cha tatu kwa kukosa ada Elfu thelathini na Tano tu, familia yangu ilikuwa inapitia kipindi kigumu Sana kiuchumi baada ya redundunce ya mzee.
Hakika umeandika ukweli mtupu. Kama ni kushughulikia ya awamu iliyopita yashughulikiwe yote na si kubagua kwa maana yalitokea chino ya usimamizi wa utawala ule ule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.