Recent content by kitwala

  1. kitwala

    Yanga Yalipa kisasi cha 2016 Kwa Mazembe

    Al hilal ndiyo timu yako siku hizi? Siyo Mikia tena? Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  2. kitwala

    Yanga Yalipa kisasi cha 2016 Kwa Mazembe

    Ukiona Mazembe wabovu kalete timu yako unayoiamini.
  3. kitwala

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    So far tumecheza vizuri, magoli tuliyofungwa ni kama tumeviziwa hivi. Tujipange na game zijazo na naamin mipira ya kutenga sasa tutaiepuka ama kuitafutia suluhu ya kudumu. Ihefu alitufunga na Azam pia mechi ya kwanza magoli yote yalitokana na mipira ya kutenga. Tukifanikiwa kutibu huu ugonjwa...
  4. kitwala

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mnafurahia wapinzani mkiwachezea viatu, mkiguswa nyinyi mnalalama kukamiwa, kuhujumiwa n.k
  5. kitwala

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Kuna timu walijiita unstoppable, lakin hadi sasa wako nyumanyuma kama mkia
  6. kitwala

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Nine stright win and eight cleansheet
  7. kitwala

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Jamaa anaupiga mwingi hadi unahofia awamu ijayo atakuja na idea ipi itakayobamba kuliko hii. Kesho mapema sana nadaka yyte maana zote ni kali tu.
  8. kitwala

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Hizi jersey zitaisha kabla ya muda uliotarajiwa, huyu Sheria Ngowi apewe heshima yake.
  9. kitwala

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Home kit hiyo, balaa sana
  10. kitwala

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    We are Young Africans[emoji1320][emoji1320][emoji1320]
  11. kitwala

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Kwani Mikia bado wanamshawasha wa kucheza na Yanga?
  12. kitwala

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ukitaka kuwa bingwa lazima ushindane na timu ngumu, Man U imemtoa PSG ambaye ni giant pia, ilimpiga PSG pia. Kwa Barcelona ni kipimo kingine cha kuelekea kwenye ubingwa. Huwezi kuwa bingwa kwa kuombea kupangwa na timu nyepesinyepesi. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kitwala

    Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Haya masharti ni balaa. Hahahaaaa shusha mzigo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kitwala

    Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Hahahahahaaa tuombee tu tuipate kivyovyote, maumivu/furaha ya mpira itakuwa imepita tayari. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kitwala

    Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Jioni ndiyo hii mkuu endeleza[emoji120][emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom