Recent content by kitunguu saumu

  1. kitunguu saumu

    Uzuri hasa ni nini ?

    Uziri ni kitu gani uzuri ? uzuri wapimwa vipi? Uzuri upo dukani kama wanunua pipi? Uzuri ule wa ndani , au umbo la halisi? Uzuri hasa ni nini? Na upo sehemu gani ? Uzuri kalio kubwa linalozidi kiuno, Kwenye nguo likakaba, likasheheni unono, Akitembea si haba, wausikia mvumo, Uzuri hasa ni...
  2. kitunguu saumu

    JIiwe hili Jiwe gani, hapa kwetu kijijini ?

    Ni kitunguu saumu, ni dawa ya kienyeji, pia ni dawa ya sumu, kwa mafua ya aleji, ni kikali kama ndumu, masela twaita fegi kicheko chako ...............................
  3. kitunguu saumu

    Ukiachana na mfumo rasmi wa elimu, una kipaji gani halisi??

    mtunzi wa mashairi, lugha tamu ka asali, najua kutunza siri, si mfujifu wa mali na tena sio bahili, uchawi upite mbali ni fundi wa kila kitu, kitaa wanikubali panga langu sio butu, nalitumia si hali, vipi bosi nipe buku, nikapate japo wali
  4. kitunguu saumu

    JIiwe hili Jiwe gani, hapa kwetu kijijini ?

    JJIWE HILI JIWE GANI HAPA KWETU KIJIJINI? Kwenye mwanga waliona, kwenye giza hulioni, Waliokwisha liliona, wakatoa zao warn, Wa kijiji wakagoma, wakaziba zao mboni, Jiwe hili Jiwe gani, hapa kwetu kijijini? Wale waliolileta, nao sasa wanajuta, Linawapiga mieleka, na viuno kuvunjika, Wasotaka...
Back
Top Bottom