Recent content by kitumbotala

  1. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kuichukia siasa ya Tanzania sana

    Kwanini wana siasa wa tanzania ni waongo sana. Jamani huku kwetu Mbezi Msumi,tulidanganywa na Mh. John Mnyika John na ahadi nzuri sana kuhusu kushirikiana na sisi wananchi katika kutatia kero za maisha, lakini tunaona mwenzetu kaamua kututelekeza kabisa hata kama yeye hana uwezo wa kutatua basi...
  2. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu ndogo used.

    Habari zenu wana jamii forums, nina haja na simu ndogo zile zisizo na internet yyte, kawe used vile vya line mbili. Mwenye nacho aniuzie, nipo dsm makumbusho njoo fasta uchukue pesaaa
  3. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sehemu ilipo Mexico Bar Sinza

    Daaa we jamaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  4. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sehemu ilipo Mexico Bar Sinza

    Habari waungwana humu ndani, naomba mwenye taarifa ilipo Mexico Bar hapo sinza tafadhari naomba nijulishwe location na urahisi wa kufika, Karibuni kwa msaada wenu.
  5. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Nauza Smartphone mpya kwa 85,000/=

    ndio
  6. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Nauza Smartphone mpya kwa 85,000/=

    ongeza mkuu nikupe simu hii haina tatizo
  7. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Nauza Smartphone mpya kwa 85,000/=

    SIMU IMESHAUZWA.
  8. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Njoo uniuzie simu yako unayotumia wewe.

    Hapana kuna mtu anataka smartphone used nimnunulie
  9. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Njoo uniuzie simu yako unayotumia wewe.

    Nipo Dar dimu ya smartphone yyte inayoweza kutumika kwa usalama
  10. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Njoo uniuzie simu yako unayotumia wewe.

    Habari zenu wana jukwaa, natafuta simu used iliyo salama, kwa anaeuza iwe hiyo unayotumia au nyingine tafadhari... Tuma picha(au sema ni aina gano)muda uliyotumia, weka na bei yako na mawasiliano aua hata usipoweka mawasiliano nitakufuata chapchap PM.. Nipo hapa jukwaa online nikuwasubiri nyie...
  11. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Ninauza simu, Tecno H6 kwa laki 1 tu.

    Mm naitaka hiyo simu njoo PM tuongee fastaaaa
  12. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ukumbi/Banda la kukodishwa

    Nipo Dsm natafuta ukumbi unaoweza kuingia watu 100, au Bar/Restaurants iliyofungwa ambayo inaweza ikakodishwa kwa Dsm maeneo ya sinza,mbagala, n.k tafadhari tuwasiliane nami.. PM
  13. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Ukumbi/Bar inayokodishwa inatafutwa.

    Nipo Dsm natafuta ukumbi unaoweza kuingia watu 100, au Bar/Restaurants iliyofungwa ambayo inaweza ikakodishwa kwa Dsm maeneo ya sinza,mbagala, n.k tafadhari tuwasiliane nami 0625568600
  14. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Kila nipatapo hela lazima niwashwe, nini tatizo?

    Kuna mapepo maalum ya kukutia umasikini amka tafuta waombaji wakusaidie na sio waganga
  15. kitumbotala

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujulishwa nauli ya basi zuri Dar -Zambia

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu upo negative tangu mwanzoni nilipoweka huu uzi...
Back
Top Bottom