Recent content by Kituli cha nyama

  1. Kituli cha nyama

    NSSF ni lini mtatupa pesa zetu?

    Nssf huwa mnalazimisha watu kuweka pesa kwenye mifuko yenu, Manager mmoja wa Tukuyu alikuwa mkali kupitiliza kiasi japo ukali wake ulikuwa hauna maana coz alikula pesa za wachangiaji fulani hadi leo hazijalejeshwa, Alipoambiwa hawa watu ni vibarua wa muda alilazimisha wapeleke michango...
  2. Kituli cha nyama

    Tumenusurika na ajali muda huu

    Sema nikusaidiaje, pia huu mtandaoni haupo peke yako, huna msaada kaa kimya mkuu.
  3. Kituli cha nyama

    Tumenusurika na ajali muda huu

    Boss sina hizo namba mbaya zaidi magari yenye matatizo yapo mengi mengine hayana breki, pia hata kesho inawezekana likawepo njiani. Wahusika wataliona hili walifanyie kazi.
  4. Kituli cha nyama

    Tumenusurika na ajali muda huu

    Trafic wa kyela gari namba T 571 CGY linafanya safari za kyela boda nibovu kupitiliza kiasi na tumenusurika ajari mitaa ya kandete kwasababu gari inahama site yake kuingia site nyingine na lipo barabarani kila siku. Tulikua abiria tisa na dereva moja jumla kumi. Baada ya kupigwa site mirrow...
  5. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Tusubiri tu hili bomu litakapo lipuka mkuu wa wilaya na wenzake watamuelewa Magufuli
  6. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Ukweli mwakyembe msaada wake mkubwa katuletea ushirika
  7. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Tatizo watu wanafanya kazi kwa woga. Pia kunakitu nyuma ya pazia ambacho nahisi ni muheshimiwa raisi pekee anaweza kukitatua. Waziri wa kilimo aliyepita alitoa mapendekezo mazuri. Baada ya kuondoka tu wakaja watu sijui toka wap wakisema wametumwa na mamlaka iliyojuu ya waziri utaratibu ubaki ule...
  8. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Duh! Serikali ilifanya vile kumnusuru mkulima wa korosho.
  9. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Hahahaha yupo mkuu kama kawaida bado anapika msosi.
  10. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Mkuu wa wilaya kaagiza njemke wakamatwe. Ko kunawakulima wenye hela wananunua kakao za wakulima wengine hawa wanatakiwa kukamatwa,
  11. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Sio kazi ya serikali kununua na kuuza mazao mkuu, Hua serikali haifanyi biashara.
  12. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Wateule wote wangekua bora basi kungesikuepo na kutumbuliwa mkuu.
  13. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Simaanishi kua mm ni mtaalamu kuliko hao wateule nao ni wanadamu tu wanaweza Fanya isivyo sahihi. Mbona tuna maprof na wanafanya vitu by ajabu
  14. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Ile ilikua kumnusuru mkulima kwasababu lililotokea halikutegemewa sasa kwanini muda huo tusifanye mambo kitaalamu kuliko kuipa serikali mzigo usio na ulazima
  15. Kituli cha nyama

    Mkuu wa wilaya ya Kyela utaharibu tena

    Nakumbuka kabla ya ushirika kuanzia kufanya kazi mlimtangazia mkulima bei ya kakao 4,200 na ukweli hatukufanikiwa kupata soko lenye bei ya 4,200 kitu kilichopelekea matatizo. Leo umetangaza bei ya 4,200 tena je ikitokea mnada umefanyika kwa 3,500 utakua na pesa za kumuongezea mkulima maana...
Back
Top Bottom