Nje haendi na bado kanunua ndege sita na nyingine ya saba inakuja. Isitoshe anajenga standard gauge railway na Stigler's gorge dam.So, ziara au safari nyingi nje ya nchi zisizo na manufaa kwetu ni za nini? Kwani wawekezaji lazima watoke nje? Inapaswa kuempower wazawa kuwa wawekezaji ili uchumi...
Marais waliotangalia akina Mkapa na Kikwete walisafiri sana. Vp kama taifa, unaweza kutuambia faida au namna tulivyonufaika na hizo safari au hizo ziara?
Tukielewa dini ni nini na siasa ni nini, hatutasumbuka . Maana, hata siku moja huwezi kutenganisha dini na siasa Wakati vyote vinahusu maisha ya watu. Tofauti Tu iliyopo ni kuwa Siasa inajikita ktk maisha ya kimwili na dini ni Kwa vyote, kimwili na kiroho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.