Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu, kimfaacho mtu chake,. Shamba lina ukubwa wa eka 25, lipo mkuranga kilometer 10 kutoka barabara kuu ya Dar - Lindi. shamba bado virgin na mazao yaotao huko ni mengi ikiwemo mihogo, na mazao mengine ya mboga na matunda. Gari inafika shambani . kwa...