Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, labda amteue Mbarawa kama Makamo wa pili, vinginevyo Makamo wa kwanza atatokana na chama cha upinzani, kitakachoshika nafasi ya pili.
Sheria inaruhusu mmiliki kukodisja ardhi. SINO hawakuvunja sheria kufanya hivyo, na ndiyo sanabu imiliki wao haukuwa revoked, ila sehemu ya umiliki itamegwa. Haikuwa sahihi kudai kuwa SINO haipaswi kumiliki ardhi kwa vile sio wazawa!
Sio lazima kumwaga damu! Mkoloni mweusi anaweza kushindwa kirahisi sana, hapo tukipata bunge sahihi, siyo hili la ku rubber stamp kila kinachowasilishwa.
Kama vyama mbadala vina nia ya dhati ya kuungana, basi wataomba kitu kinaitwa "extension of time", kwa Msajili, na kutoa sababu zilizowafanya kutofanya hivyo ndani ya muda uliowekwa, ili kufanikisha azma hiyo.
Msajili hatekelezi sheria kama kipofu! Kama sheria inasema ushirikiano ni ndani ya miezi mitatu baada ya Tume kutangaza mchakato, sasa huyo Msajili anatamka kwa sheria ipi, kuwabl ushirikiano umechelewa? Busara ya kawaida ikuongoze kuona kuwa kwa muktadha huo, hiyo sheria ina walakini na ukakasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.