Mkuu ndio maana natoa hati..na sio kama kiwanja tupu..nimeinua mpk lenta..na ukipitiliza huo muda wa mkopo..Mkopeshaji aseme kipi kitaongezeka endapo muda wa marejesho ukizidishwa.
Wakuu habari ya muda huu, ninahitaji mkopo wa laki 7 usio na riba na nitalipa kwa miezi 5(Kila awamu ni Tsh.140000 au zaidi).
Dhamana ni hati ya kiwanja nilichonunua 2019 kwa Tsh 1.3M..Nipo magomeni mwembechai. Aliye tayari karibu tuchat.
Namba zangu ni 0654102984.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.