Recent content by kitokololoo

  1. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Mpira ni strategy and plan ila Pablo hana

    Raha yangu nikuona simba inatesekaaaa
  2. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

    Ata sisi yanga tulipitia ayo na mlituchekaaaaaaa sanaaaaaaaaaaa sasa makolooooooooooooooooooooo nawaita tena mafuaaaaaaaaaaaaaa fc mkae kwa kutulia sindanoooooo iwaingie
  3. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Siku za kocha Pablo wa Simba zaanza kuhesabika

    Makoloooooooooooooooooo mlibwanjeeeeee
  4. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Djeyiiiiiiiiiiiiiiii walete mwaka jana mnajifariji mbona tulipoteza mechi 2 na ubigwa tulichukua mnajiuliza mpinzan wenu mwaka jana alikuwaje???? Sasa endeleeni kujifarijiiiiiiiii ila mtakuja shituka kumekucha.
  5. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

    Bora uamini Mungu yupo hapa duniani kuliko usiamini ukaenda na ukamkuta
  6. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

    nimeamini simba na yanga ni kubwa kuliko tff
  7. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania GSM hawafai kudhamini timu

    wacha tuwachanganye makolooooooooooooo ili jumamosi tukate kichwa vzr
  8. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

    YANGA HII ILOWAFUNGA NYINYI KWELI MLITEGEMEA IFUGWE NA RUVU SHOOTING?
  9. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

    Ulaya Marefa wanakosea sembuse mbogooo ndyo maana wakaleta VAR ruvu kushambuliwa sanaaaa kumewacost maamuzi ya refa yamewabeba Yanga timu ikiwa nzuri ngum sana mpinzan kuwazuia
  10. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

    Ukweli usemwe Yanga hii inacheza vzr ni vigum wapinzan kuwazuia Yanga dakika 90 uwanjani ni lzm utacheza mistake ambazo zitakuhukumu tu. Ile kadi ni sahihi kabisa mtu wamwisho kachezewa rafu. ile ya Sonzo kwanza kamchezea faulo Mayele pili ule mpira kaushika. Timu siku zote ikiwa vzr yn utaona...
  11. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

    v2 atari
  12. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania BYE BYE GOMEZ:

    Makolo makolo makolo nawaita wacha inyeshe tujue makolo jibuni
  13. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba kwa Hitimana tumeteleza

    makolo fc ngoja inyeshe tujue vzr panapo makolo jibuni.
  14. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Saido Ntibazonkiza

    Kolo ww kina onyango, wawa,nyoni,kagere,bocco,mkude, wale si wazeeee??
  15. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

    kimeumana na polisi wanawasubir
Back
Top Bottom