Recent content by KITITU

  1. KITITU

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Hapana bado cjamuona dr ila kuna dr nlimuulza kuhusu tatzo langu kuna cndano(sorry nmesahau jna la dawa) aliniambia nkachome...ila Dr mwngne alniambia hyo cndano ni ya kutulza maumvu na sio kutbu tatzo.
  2. KITITU

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Habar wana jf, Nina tatzo la tumbo kuniuma wiki moja kabla ya kuingia kwenye mzunguko wa hedhi.Maumivu nayapata chini ya kitovu na huwa makali sana na nikiingia kwenye mzunguko maumivu ninayoyapata ni tofauti na ya mwazo kabla sijaiingia. Mwenye kujua dawa anisaidie kwani nashndwa kufanya kazi...
  3. KITITU

    Simu aina ya acer z130 inauzwa

    Habar wana jf smartphone haina ya ACER model number Z130 android version 4.2.2 inauzwa imetoka uholanz ina cover 2 bei ni lak 2 haipungui mawasiliano ni 0659-991891.
  4. KITITU

    Simu acer z130 inauzwa.

    Habari wana jf simu haina ya ACER Z130 inauzwa ni android version ya 4.2.2 rang yake ni nyeupe haina tatzo anaeitaj namba ni 0659-991891.
  5. KITITU

    Nini maana ya neno Kuntu?

    Hahahaha
  6. KITITU

    Kwanini utumie x badala ya s?

    Hahahaha yaani ww ndo unafanya kusudi
  7. KITITU

    Kwanini utumie x badala ya s?

    Heruei ndo kitu gan sasa?umeruka mkojo umekanyaga mavi.
  8. KITITU

    Nimefunga pingu za maisha na jini

    Teh teh teheeee me nahc najr ataendelea kuja
  9. KITITU

    Nimefunga pingu za maisha na jini

    Hahahahaha mbavu zangu mie
Back
Top Bottom