Mkuu mimi nakubaliana na wewe. Tatizo, washauri wa benki ni kina nani na wanaishauri nini? Inawezekana ni hao hao ambao wakihisi au kusikia neno PESA wanatoa mate kama fisi ameona mfupa mpaka wanasahau ushauri ulio na tija kwa benki na hatima ya benki sawa sawa na hao wafanyakazi waliohusika...
Hivi ulishawahi kwenda bookshop kuweka pesa zako ukiamini kuwa ni benki au huyo muuza vitabu ni mfanyakazi wa benki? Au ulishawahi kumkuta traffic barabarani ukampa hela zako unazopeleka benki kwa imani kuwa ni mfanyakazi wa benki? Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja ila jua kuwa huo...
Ndugu yangu, hivi kweli maskini wanaibiwa shilingi bilioni 7.3? Aisee...acha tu kuandamana...mimi ningelala Exim mpaka kieleweke...hapa ingekuwa ni zaid ya CDM au Sheikh Issah Ponda!!! Nisingekubali!!! Huu ni WIZI MTUPU!!!
Hapa ni wateja wameibiwa sio benki. Ndo maana wateja wanalalamika. Soma hiyo makala ya Raia Mwema uone watu wanavyolalamika? Yaani Exim imewaacha weupe...
I can't believe this...it's so absurd. Exim, how could you? You don't deserve to be in banking business industry. Exploiting and stealing from poor Tanzanians? It's so unfair and unbelievable. Mr. chairman, you don't even deserve such a title. Thank God I'm neither amongst them nor your...
Hata mimi bora niweke pesa zangu kwenye shimo kuliko kuweka benki kama EXIM? Hivi kwa nini hawa walioibiwa wasijikusanye wakaandamana ili nchi nzima na Raisi Kikwete wajue EXIM walivyo wezi? Maana inawezekana watanzania walio wengi na Raisi pia hawajui, wanadanganywa tu na kupigwa changa la...
Kweli EXIM hakuna usalama. NI WIZI MTUPU. Shilingi bilioni 7.3 za watanzania maskini? Kweli watanzania sisi ni shamba la bibi. Alafu huyo anaye jiita mwenyekiti, Maneck (hivi naye simuhindi?) anavyosema eti benki iko katika hali nzuri kifedha kwa kuwa kulingana na hesabu zao wana shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.