Recent content by kitimdogo

  1. K

    JamiiForums Tanzania TTCL waita watu kwa usaili

    habari zenu wana jamii Forum! nimesikia kua TTCL wameita watu kwa usaili kesho tarehe 06/10/2015 pale Institute of Adult Education Building kwa kada mbali mbali, aliye niambia yeye ametumiwa hizi taarifa kwa njia ya email, sasa naombeni kuuliza je kuna yeyote mwingine aliyeitwa?
  2. K

    JamiiForums Tanzania PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

    pale mimi sijui mtu kiongozi, nimejaribu kuuliza ili niwe najua maana uhakika wa kupata kazi pale kweli inaonesha lazima uwe na ndugu yako PPF
  3. K

    JamiiForums Tanzania PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

    asante sana mkuu kwa taarifa
  4. K

    JamiiForums Tanzania PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

    Wadau hivi hawa jamaa wa PPF wanatoa majibu ya interviews zao baada ya muda gani? maana mmi nilifanya hii ya juzi jumamosi ila hawakuatoa taarifa yeyote kuhusu matokeo yatatoka lini na kwa mfumo gani?
Back
Top Bottom