Recent content by Kitikirefu

  1. K

    Lowassa afanya kufuru nyingine, atumia milioni 270 Mwananchi Communication Ltd kumpaisha kisiasa

    Ujinga huu kila siku nasema,kama unaandika jambo halafu halina uhakika huo pia ni ujinga tena ulio kolea,andika kitu weka ushahidi unaojitosheleza,,
  2. K

    Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Duuh,Huyu mwenye fikra hizi nadhani anatumia Ubongo wa Samaki,Halafu kuandika Vitu ambavyo havina ukweli Ujinga..
  3. K

    SIRI NZITO Vita ya Urais: Lowassa na Membe Kuvurugana... Hatari ya CCM Kumeguka!

    Lowassa ni Mpango wa Mungu,4u movement,inafanya kazi Kwa umakini mkubwa sana...
  4. K

    Wanafunzi Vyuo Vikuu kuandamana kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Urais

    Hyo taarifa haina mashiko uzushi mtupu.
  5. K

    IGP: Jina la Mohammed Emwazi halikuwepo kwenye database ya polisi

    Me napita ntarudi baadae🏃
  6. K

    Wimbi la kumshawishi Lowassa kugombea urais lapamba moto

    Lowassa anafaa sana,,Mambo mengine ni siasa tu..Lowassa ndo mtu pekee anayeweza kuchachafya hawa viongozi wengine maslahi,,Ndo maana wanampinga sana,,Lowassa juu
  7. K

    Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    Kwanza me kabla sijachangia hapa Yeriko na Swali moja tu kwako,Katka Chama chama Mapinduzi Ni nani unamuona anafaa kupitishwa Awanie Urais,? Naomba tuanzie hapo kwanza kabla sijachangia hyo hoja yako,,Kuna sehemu umeongea vizuri na ukweli kuna sehemu Umetengeneza story Ionekane true story...
  8. K

    Richmond na Dowans ni mali ya nani?

    Lowassa Aliingizwa mkenge tu lkn wenye Richmond wapo na ndo wanaoendesha Vita ya kumpinga asingombee Urais,,Lowassa Ni mtu makini sana.,Na mwenye Maamuzi magumu..
  9. K

    Mwenyekiti wa vijana JKT: Nililazimishwa nifanye mapenzi

    Hivi Taratibu za jeshi la kujenga taifa zikoje?Ukimaliza tu Mafunzo unaajiliwa au Ikoje hebu nujuzeni niko gizani,👂
Back
Top Bottom