Ukistaajabu ya h/w na mfuko wa jimbo,sogea mita chache mpaka kituo cha polis mwanga ndiyo kabisaa twafa,hasa kwa watu wa vjjn unapohitaji msaada utaambiwa gari halina mafuta,haya mhalifu akikamatwa dhamana laki 3 kesi haziendi mahakamani rushwa tupu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.