Recent content by Kiti cheupe

  1. K

    CRDB kuweni makini. Ada Loan yenu ni huduma nzuri iliyokosa maafisa masoko makini

    Benki ya CRDB wamekuja na huduma mpya inayoitwa Ada Loan. Ni bonge la ubunifu, lakini tatizo ni kwamba maafisa masoko wameifanya kuwa huduma ngumu sana kwa mteja kuipata. Mfumo wa benki unazitaka shule zioanishe mfumo wa shule na mfumo wa CRDB ili mteja alipiwe ada ya mtoto wake. Shule nyingi...
  2. K

    Chuo cha Michezo Tanzania

    Chuo tayari kipo siku nyingi sema kilikua na miundo mbinu duni kwa sasa nasikia wanakiboresha kipo kule misungwi kinaitwa chuo cha elimu ya michezo Malya
  3. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oya wakuu kwema? Kuna app inaitwa mkeka.co.tz wanatoa dondoo za kubet vp wapo vizuri au ni matapeli?
  4. K

    Kwa singeli Kabudi unatukosea Watanzania huujui vizuri huo mziki. Bongo Fleva ndio mziki rasmi unaoitambulisha Tanzania

    Tatizo ni akili za wanaomba singeli yani ubongo wao wameuelekeza kwenye ngono, ushoga na bangi yani mtu anaimba niache nidange hata kwa mpalange na watu wanashangilia?
  5. K

    Kwa singeli Kabudi unatukosea Watanzania huujui vizuri huo mziki. Bongo Fleva ndio mziki rasmi unaoitambulisha Tanzania

    Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo: Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
  6. K

    Mabadiliko ya Elimu Yetu Hayaepukiki. Ila ni lazima tuwe Makini kwenye Utekelezaji wa Mabadiliko ya Mtaala Mpya wa Elimu

    Umeongea kitu cha msingi sana lakini wachangiaji mada hawaonekani kama ungeandika umbea wa daimond na zuchu au mobeto na azizi ki maoni yangejaa kurasa na kurasa
  7. K

    Semina ya mtaala mpya, Halmashauri ya Meru walimu wapigwa semina bila chai, lunch wala nauli kwa siku mbili

    Hii nchi huenda ina laana si bure labda tumerogwa na aliyeturoga alishakufa
Back
Top Bottom