Hz takwim km ukikrupka,, utaleta fujo kwny familia,, elewa n takwm kwa wale waliopma tu,
Takwm znaonyesha wanatoka nje ya ndoa zao,, bt kiuhalis inaweza kuwa wote walioenda kpma wanatoka nje ya ndoa zao,, maana mpaka ifkie stage umpeleke mke/mme wako kpma ujue hakna uamnfu hapo, kna ktu umeona...