Fugerson steeet uko Ohio marekani... alipigwa risasi tano kifuani kijana mmoja mweusi anayefahamika kwa jina la michael ambaye hakuwa na silaha yoyote kisa amepita kwenye mazingira asiyo ruhusiwa ... nenda www fugerson shooting .com utapata ukweli huu
UMEKAA KISIASA LIGERA ...WAZIRI JUKUMU LAKE NI KUMUWAKILISHA RAIS ... BAADA YA TUKIO LILE KUTOKE MTU WAKANZA KISERIKALI KUTOA SALAM ZA RAMBI RAMBI ALIKUWA RAIS BADO RAIS ANAPLAY ROLE KUBWA KWENYE FAMILIA HIZO ...
THUS IT..... UNAJUA KUNAWABUNGE WENGINE WENYEWE WAKO KIMASLAHI ZAIDI.LAKINI WAKATI WA KAMPENI HUJIFANYA WAKO TAYARI HATA KUFA KWA AJILI YA WATU WAKE KUMBE HUWA NI ZUGA ZUGA TUU...
NCHI HII NIKUBWA POLISI WANAJUA WANACHO KIFANYA UHALIFU ULIPANGWA KWANZA KABLA YA KUAFANYWA YAWEZEKANA NA SISI HUMU HUMU KWENYE MITANDAO SOO NAFIKIRI BROO POLISI WANAFAHAMU KILA STEP WANAOICHUKUA ....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.